Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,180
- 14,549
Website ya BOT haipo hewani, shida inaweza kuwa nini? Kama Kuna njia mbadala ya kuwapata nipatiwe nina shida nao.
labda useme haifunguki ila unawezakuzima antvirus ukaingia inafunguka washa vpn piaacha porojo ipo
Shukrani mkuu ngoja nijaribulabda useme haifunguki ila unawezakuzima antvirus ukaingia inafunguka washa vpn pia