wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 871
Habari wanajamvi napenda kushare nanyi website tatu kwa wale mnaopenda ku stream livi mpira mechi zote huwa wanaweka pia NBA . Tatizo sijui kuweka website moja kwa moja ili mtu ukiclick apa ikupeleke adi mahala husiki . Lakini unaweza enda google kupitia crome au fox uka search itakuonyesha kila kitu.
1.ATDHE . Ukienda google pitia crome au fox andika hilo neno halafu page ya kwanza kufunguka iclik hiyo utakuta mechi kibao hadi NBA ila tu website hii utakutana na ADS kibao wakat ukifungua link but utazipangua utaendelea kustream bila tatizo.
2. ATDH24 .Hii ni website nyingine hutoa link kalibia 30 za kuchek game moja kazi kwako kuchagua ni link ipi utatumia pia mechi zote utakuta zipo za mpira ADS hua ni chache tofauti ya kwanza apo juu ,utazipangua utaendelea kuchek mpira.
3.First row. Hii ndo website hua haina ADs hata ukikuta bas ni moja au mbili na nirahis sana kizipangua huwekamechi karibia zote muhimu na hutoa linki hadi kumi kwa mechi moja kazi yako kuchagua.
Shukran ndugu wapenda mpira Kazi yako ni MB tu.