Kuna aina mbili za Website (1). static website -hii ni website ambayo haina support ya user interraction yaani huwezi kufanya activity yoyote zaidi ya kuperuzi website pages zake. (2). Dynamic website ni website ambayo inaweza kuwa na form unajaza na kuiSubmitt hapo na ikaenda kwenye database ya website hiyo.
Blog ni aina ya website ambayo mwanzoni zilikuwa zinaandaliwa kwa Page moja tu ambayo ni refu, ila kwa sasa blog zimeboreshwa na zinaweza kuwa na page nyingi nyingi mfano wa blog ni blog ya IssaMichuzi.blogspot.com . blog ni maalum kwaajili ya kuweka matukio kwa mfumo wa POSTS.
Gharama za kutengeneza na kuMaintain website zinatofautiana kulingana na aina ya website, ukubwa na lugha iliyotumika pamoja na mahitaji ya mwenye website.
Sheria zinazoregulate operation za website ni sheria za MTANDAO- kulingana na dhumuni la website na shughuli zake, kama ni website ya biashara basi biashara yako iwe imesajiliwa, halali na ulipe kodi.
website kama JF ni Dynamic website ambayo ni Forum.