Hi, nina website ya kampuni yangu ilitengenezwa kwa kutumia word press, nataka mtu/kampuni nitakayo inia nayo mkataba wa mwaka mmoja wa maintenance. Nakataka nipate mikataba miwili:
1. Mkataba wa kwanza ambao nitakua nalipa per service
2.Mkataba wa pili ambao nitakua nalipa per month/year.
Nataka yote miwili ili niweze ku_compare kwa sababu site yangu haiko that busy.