Website inayofungua proxy kwa kutumia modem ya vodacom! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website inayofungua proxy kwa kutumia modem ya vodacom!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by qq.com, Jun 19, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  zamani tulitumia 0.facebook.com kufungua proxy kunako vodacom ambayo waliifunga.
  naomba mwenye kujua mpya anisaidie kupitia PM.naona wamepinguza gharama eti 5mb sh 250 nk lakini tunatafunwa sana

  nitashukuru
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  wabongo bwana

  ebu cheki gharama za vodacom mkwa sasa
  5mb-250 daily
  25mb-450 daily
  50mb-700 daily
  Non stop-10,000 weekly
  lakini bado unataka vya bure? AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
   
Loading...