habari ndugu,
Nauza website ya habari na matangazo ya kazi ,ni website nzuri sana na pia tunaweza kuibadilisha kukidhi maitaji yako. Pia hii website ni mult-site maana yake unaweza kutengeneza webiste nyingi ndani yake kwa kubonyeza batani tu. kwa anaeitaji nitumie private sms au reply nitawasiliana nawe.
Karibu sana.