kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,303
- 6,123
Sawa mkuu ni pm unataka blog ya aina gani na yenye mwonekano upiNiko serious nataka YouTube Chanel na blog.
Asante mkuuHongera. Umenikumbusha. Mimi pia niljifunza hiz language nikiwa form 6. Nimekuja kuingia chuo nipo vizuri katika Website development. Kilichonilet down chuon sikuweza kupana nafasi ya kusoma computer science. Na interest ikafa kbsa
Nafahamu pythonnilidhani unafahamu python mkuu,nikpe kaz ya kfanya
Nashukuru mkuuAge nzur safi sana kijana kama unajua hizo PL sio mbaya unaweza fanya kitu kikubwa pita pita hapa> Official Blog - Octal IT Solution upate idea za web na app itakayo kufaa chomoka nayo GL!!
Wasaalam wakuu. mimi ni kijana wa miaka 17. nina uwezo wa kudesign websites from scratch. natengeneza dynamic websites yaani website ambayo contents zake zinaweza kuwa updated muda wowote na mwenye hio website. situmii website au blog engine yoyote kama vle wordpress coz hizo zinalimit uwezo wa website bali mimi unaniambia tu website yako unataka iwe ya aina gani na iwe na system gn thn mimi naanza kuiprogram.
pia nna uwezo wa kutengeneza forums na social networks from scra
tch yaani bila kutumia scripts za watu wengine. Pia natengeneza app
s kwaajili ya website mbalimbali
Kwa sasa nafahamu programing languages hizi
PHP
HTML
CSS
JAVA
XML
JAVASCRIPT
C++(BASIC LEVEL)
ukitaka nikutengenezee kazi yoyote just wasiliana na mimi unipe jinsi unataka web yako ionekane thn mimi ntafanya hio kazi kwanza na nikimaliza ntaihost kwenye server yangu kisha ukiiangalia ukaridhika hapo ndipo utakapo nilipa na mimi ntakukabidhi na kuihost wewe unapotaka.
ELIMU:
mimi sijasomea programming chuoni wala shuleni lkn nlifundishwa na Baba yangu(marehemu) lkn nina amini uwezo nlionao kwenye programing unaridhisha
Ni pm mkuu tuongee biashara ya websiteNina wazo la website ya kibiashara lkn wataalamu wameniambia gharama ni milion 5 kuikami lisha ndani ya siku 27. Utanisaidiaje kabla wazo langu halijaibiwa?
Mkuu NP tuongee biashara ya kukufungulia youtube channel, blogs nk. Na nitakusadia jinsi ya kupata views, subscribers, jinsi ya kufanya youtube channel yako iwe namba 1 pale mtu anapoingia kusearch youtube kitu chochote.Niko serious nataka YouTube Chanel na blog.