Kusemea = Kusomea
mkuu kwanza kitabu kusomea online n kaz. vtabu vnakua na extension ya either epub au pdf.. kwenye mozila kuna adons za epub na pdf reader but still n mpaka u download ndo ufungue ukiwa offline... cha muhmu ungesema unatumia simu ya system gan au device ipi kusomea vtabu... maana vtabu hata kwenye ma torrent vpo..... na kukieka ktabu online ita take alot of web pages just for one book...
so tuambie unatumia device ipi tukuelekeze kwa kupata epub readers na pdf readers ndo then tukupe links za kupata vtabu......
pia nadhan humu kuna haja ya watu kujifunza jinsi ya kuitumia vzur search injini ya google mana hakuna website itakayo kusaidia vtabu vyote hvyo n muhmu watu kujua wata itumia vp google kupata kile wakitakacho.....
Nina vitabu nimedownload kwenye hii format, nataka niconvert kwenda PDF.
Nafanyaje??
Nina vitabu nimedownload kwenye hii format, nataka niconvert kwenda PDF.
Nafanyaje??
mkuu mm sna converter ya hz kitu ila nlikua nna reader yake but now dayz natumia mozilla Firefox .. nmeidownloadia ka extension [adons] ambako kanafungua epubs kwa Firefox naona ile ndo nzur maana hata epub reader nmeitoa maana haina maana tena.. pia kuna adons ya pdf reader...
Lazma uwe na mozilla ambayo n latest kias. nazan version 28 na zaidi
Tafuta hii software inaitwa Calibre iko poa kwa kazi hizo
Chief-mkwawa
Naomba converter ya kutoka EPUB format kwenda PDF
kwann kuconvert? Ebup uwa ina details inside ambapo ukiiconvert kuwa plain pdf zinapotea. kwanini usitumie epub readers kama calibre ambayo inasoma kila format kuanzia epub pdf doc na zingine pia ina arrange inaweka kumbukumbu ulipoishia kusoma
Mhh !!! tuta download mizimu...Njia rahisi ya kupata vitabu/kitabu chochote mtandaoni ni kwa kutumia site ya libgen
soma zaidi jinsi ya kudownloadhapa


, 
