Swahili Technologies video tutorials
pata mambo yanayohusiana na technology kwa lugha ya kiswahili tumeanza na webdesign wahi sasa kwa anayetaka subcribe channel yetu uwe updated na vitu vipya nitafundisha PHP,MySQL,HTML,css zote kwa kiswahili, TOUBLESHOOTING,NETWORKING,ANDROID TRICKS na mengine mengi zote hizo kwa lugha pendwa ya kiswahili asanteni.