Web hosting!

Hadoop

Member
Oct 28, 2011
88
15
Natumia Plesk Control Panel & Filezilla FTP client.
Naomba mnielekeze jinsi ya ku upload web contents.
 
chamsingi database name usiache kitu mfano [u2515225_hostbure] user name [u2515225_wewe]

hii ni case sensitive, tumia firezilla
 
Web site iko developed in .NET, swali langu ni content zipi zinatakiwa kuwa imported to httpdocs directory ya remote machine? In .net home page(.aspx) nimetumia jina la Default.aspx, je hii inabidi iwe renamed to index.aspx? Nimejaribu ku upload kwa kufuata filezilla description lakini kila nikitaka ku preview site inagoma.
 
Unatumia host gani na version ipi ya plesk?

Hakikisha una hosting ya Windows na sio ya Linux.

Kama unatumia Visual Studio unaweza ku-upload kwa FTP kupitia VS yenyewe. Nenda Build, Publish.., kisha jaza details za ftp server yako. Kama unataka kutumia hiyo filezila basi kwenye publish chagua local filesystem kisha publish kwenye folder yoyote kwenye PC yako kisha tumia filezila ku upload kila kitu kwenye server.


Upload kila kitu kwenye project folder yako kwenda httpdocs ili hiyo Default.aspx iwe kwenye httpdocs, hakuna haja ya ku rename kitu.
Kama application yako ina database basi hakikisha host wako anasupport database unayotumia, kisha nenda sehemu ya DB na create Db au import kutokana na mahitaji yako.

Pia inaweza ikakulazimu kubadili DB connection strings kwenye app yako ili ziwe zinapoint katika database yako mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom