Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 965
- 838
Mambo vip wakuu ni matumaini yangu nyote Muu wazima Kiafya na poleni na majukumu mliyo nayo.
Lengo la kuandika Uzi huu hapa jukwaani ni Kuomba ushauri na maoni yenu juu ya Blog hii niliyo nayo kwa sasa. Hapo awali nilifungua blog yangu katika Blogspot ambayo nilikaa huko kwa muda wa miaka mitatu ila Hivi majuzi niihamisha kutoka Free hosted blog kwenda katika self hosted blog ambapo kwa sasa natumia WordPress as a publishing platform.
Mpaka sasa nimefanikiwa kuikamilisha kwa maana kwamba Nimenunua New Premium Theme ambayo nimefanikiwa kuifanyia Customization kwa zaidi ya asilimia 85(Hapa naongelea kwa upande wa Coding na mambo mengine yanayo fanana na hilo).
Nikuombe wewe web Developer na Blogger mwenye Uzoefu mkubwa juu ya hili uipitie Blog hii kisha unishauri nini chakufanya na nini ambacho siruhusiwi kufanya.
Boya HAPA kuipitia blog hiyo.
Itakua poa kama Utatumia mfumo huu ufutao kutoa majibu sahihi.
1. User experience
2. User interaction.
TAFADHALI.
Ingawa napenda Maoni yako ila kama Hufahamu chochote katika hili nakuomba ukae tuu kimya na kuangalia wenzako wakidadavua mambo ili na wewe ujifunze.
Nitangulize shukrani zangu za Dhati kwako.