Web development for beginners in swahili

Pamoja sana@frankgalos but ningekuwa na laptop ningeombe ungenifunza ku-make website ya kwangu kwa gharama yoyote ile kama hii ya JF na app pia but uwezo ndo finyu.
 
Pamoja sana@frankgalos but ningekuwa na laptop ningeombe ungenifunza ku-make website ya kwangu kwa gharama yoyote ile kama hii ya JF na app pia but uwezo ndo finyu.
mi nakufundisha bure tu gharama ni hiyo laptop na nauri yako. yakuja coz nna project kubwa sana ambazo hata hiyo library nnayo itengeneza ni kwasababu ya hiyo project so project imesimama mbaka library iishe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…