Ungependa kujifunza website development muda wowote , mahala popote ?electronic data system ni kampuni ya IT itakayokuwezesha kujifunza kutengeneza website kwa ajili ya biashara au matumizi mengine yoyote kwa gharama nafuu sana. Mafunzo yanatolewa kupita video lectures na online resources ambazo zimeandaliwa na wataalam waliobobea katika fani hii.
Kwa ubora unaotolewa wa kozi hizi ukiwa commited kujifunza ni mda mfupi tu utakua master kwenye taaluma ya web development.
wakuu aliye interested contact coordinator wa kozi hizi . watsup 0784 81 25 19.mobile 0738 23 73 39.