Msukule Msafi
Member
- Oct 10, 2018
- 55
- 48
wakuu habari za muda .... nina tatizo ninahitaji kufanyiwa setup ya website mpya ambayo nina source code tayari hivyo kuna vitu nimekwama tafadhali njoo pm tufanye makubaliano ili tufanye kazi nawasilisha
Sema kaka shida ni nini ..?wakuu habari za muda .... nina tatizo ninahitaji kufanyiwa setup ya website mpya ambayo nina source code tayari hivyo kuna vitu nimekwama tafadhali njoo pm tufanye makubaliano ili tufanye kazi nawasilisha
naomba nije pm mkuuSema kaka shida ni nini ..?
Poa mkuu ni DMnaomba nije pm mkuu