Tumia jquery itafanya kazi hiyo vizuri.. cha muhimu hapo ni kutoa unique id.. alafu baadae toa classes kwa kila moja.. hapo utapaswa ucheze na $().attr(disabled,true)
Hapo javascript inahusika ingawa kama unai-master vizuri hata html5 na css unaweza kuzifanya. Pia kama ni dynamic unaweza kucode kwa kutumia language uliyotumia kuitengenezea
I don't think you can do that without javascript (au labda kuna vitu vimenipita sana maana technology inaenda mbio) do you think you can show me how to do it without js?