Wakuu wenye maujuzi ya web designing nadhani itakuwa sahihi niseka wa case hii web designingI mean
CSS
nina issue kwenye hii
Gym yangu ya mazoezi ya IT kwa vitendo . Baada ya muda nmefikiria nibadilishe design iwe na column tatu na sio mbii kama sasa .
Sasa nimecheza cheza nayo ile column ya tatu nayotaka ikae upande wa kulia haikai juu badala yake iko chini ama unavyoona kwenye kiunganisho hicho niichoweka hapo juu. Sasa nauliza natakiwa nifanye nini Hiyo colum ya tatu ikae juu
CSS ya page nzima hii hapa
Code:
#page-wrap { position: relative;
width: 960px;
padding: 30px;
margin: 30px auto 5px;
background: white; -moz-box-shadow: 0 0 20px black; }
Mwanzoni width iikuwa 740 so nimeongeza kwenda
960 ii hiyo nafasi ( 220px) ichukuliwe na column nayotaka kuweka. Tatizo lingine hapa nafasi inatokea katikati na sio upande wa kulia . Why? Nifanye nini hii free space itokee upande wa kulia na si kati kati?
CSS inayotakiwa kubeba colum/ content za kati kati ni
Code:
#main-content {float: right; width: 450px; margin: 100px 0x 0px 0px; position: relative; z-index: 20; }
CSS inayobeba colum ya kushoto ni
Code:
aside { float: left; width: 215px; margin: 170px 0 0 0; }
So far hii ya ushoto haina tatizo.....
CSS ya upande wa kulia amayo ndyo nayotaka kuchomeka ni
Code:
#sidebar {
float: right;
margin: 10px 0px 0px 0px;
width: 200px;
margin-left:-200;
}
Kifupi inakubali ila tatizo inakwenda chini na si upande wa kulia.
So far nimejaribu kugoogle tovuti kama
Hii Dynamic drive na nyingine lakini bado sijaua nini natakiwa kufanya au kubadilisha kwenye template ya twentyten ya wordpress iliyochakachuliwa
Karibuni n nitashukuru kwa ushaurinamsaada wa kiufundi .