Web designer anahitajika

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
Habari wadau nimekuja jamvini hapa nina kazi kidogo nahitaji kushare na wenzangu utaalamu wa web designer :

nimehost site yangu na nishailipia domain ninachotaka sasa ni mtaalam wa web designing kuframe na kuiwekea flow ya page na muonekano ambao ni mzuri kwa ajili ya matumizi

angalizo:
kama huna utaalamu au ni kishoka katika masuala haya ya webdesigning tafadhali usije maana nimekutana na watu wengi unampa kazi anasema anaweza lakini hola hamna analojua anajifunzia kwenye kazi yako ,kwa kweli napenda mtu mwenye experience ndo tufanye kazi

kwa mawasiliano nicheki 0759212578
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…