Nimekua nikisililiza na kurudia kusikiliza maada za huyu Mama kuhusu uchumi wa Africa siku nyingi sana. Kila nikitaka ku share hizi maada nilikuaga naogopa kuchambwa na wakuu wa JF, lakini leo nimesikiliza maaada moja tena nikashindwa uvumilivu, na liwalo liwe.
Africa will never develop (at least in the foreseable future) unless we have a "social compact"!. I am attaching a link to her TEDX talk 4 months ago, it is a disgrace our leaders don't want to listen to African sons and daughters! Naamini hii subject itawagusa wengi wenye mapenzi mema na maendeleo ya Afrca!