Tekinologia mkuu
Mkuu, Sikonge wewe hukupiga/hutapiga goti mzee?. Na siku ya Valentine huwa hununui maua..Ha ha ha!.Mila za watu hizo, wapi kupiga goti Mswahili?
miss chagga mwanangu hujambo?that nice aisee duh..
that nice aisee duh..
miss chagga mwanangu hujambo?
Mamaa,,Miss chagga upo!!
sijambo baba mnaendeleaje
Tunaendelea vizuri sana..vp na wewe? Uko vizuri?
Mkuu, Sikonge wewe hukupiga/hutapiga goti mzee?. Na siku ya Valentine huwa hununui maua..Ha ha ha!.