We unataka kumkiss mpatanishi wetu kinguvu!!

We unataka kumkiss mpatanishi wetu kinguvu!!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
mshauli.jpeg
[h=4]Meet the LADY who wanted to KISS President MUSEVENI by FORCE.[/h]
 
Where were they? What were they doing? Who was that lady?
 
kazi kweli kweli hata mimi najiuliza maswali mengi juu ya picha hii...!!
 
huyu mzee ana sifa nyingi za wazee wa Kiafrika na amejaa utani ambao hata kama umechukia utamuelewa tu, sema tatizo lipo kwenye ni nani atamrithi!
 
inaonekana anatema sana....hadi mkuu kageuza shingo
 
Mi naona kama huyo mama kashika bahasha mkononi...may be alipewa hiyo bahasha sasa akataka kutoa shukrani kwa kumpiga busu Mr. Prezdaa...jambo ambalo lilipingwa vikali.
 
sijui kama hajapotezwa kimyakimya na hilo dikteta.
 
Back
Top Bottom