KAJICHO KIVULI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,061
- 546
Interesting! Hii inanikumbusha yule mhudumu koko wa hoteli aliyeagizwa na mteja wake amletee tuth pik.babu katoka mkoa kaja mjini kwa mwanae,,, jioni akakaribishwa mezani kwa chakula cha usiku akalaa aina nne za chakula
Mara akasikia WE SOPHI MLETEE BABU STIKI:""
mzee akaropoka "JAMANI NIMESHIBA STIKI NIWEKEENI KESHO NITANYWEA CHAI"""
hahahahahahah
''
''''''''''''
''''''''''''''''':A S angel::A S angel:
Interesting! Hii inanikumbusha yule mhudumu koko wa hoteli aliyeagizwa na mteja wake amletee tuth pik.
MTEJA: Oyaa, hebu niletee tuth piki
MHUDUMU: Samahani, leo hatujapika tuth pik!
Tatizo wabongo eti mtu akitoka Mkoa mnamuona ni Mshamba! Wakati wengi wenu mmetoka huko huko au kwevile mlitangulia?!babu katoka mkoa kaja mjini kwa mwanae,,, jioni akakaribishwa mezani kwa chakula cha usiku akalaa aina nne za chakula
Mara akasikia WE SOPHI MLETEE BABU STIKI:""
mzee akaropoka "JAMANI NIMESHIBA STIKI NIWEKEENI KESHO NITANYWEA CHAI"""
hahahahahahah
''
''''''''''''
''''''''''''''''':A S angel::A S angel:
Kwani hiyo kitu haina Jina lake kwa kiswahili? Huyo Muhudumu yupo sawa kabisa,mshamba ni huyo aliyeagiza eti "tuth pik" kwani angesema "Mjiti wa kusafishia meno" angepata hasara gani? Tatizo tunathamini lugha za wenzetu kuliko lugha yetu na huo ndio ulimbukeni na ni ushamba!!Interesting! Hii inanikumbusha yule mhudumu koko wa hoteli aliyeagizwa na mteja wake amletee tuth pik.
MTEJA: Oyaa, hebu niletee tuth piki
MHUDUMU: Samahani, leo hatujapika tuth pik!
Tatizo wabongo eti mtu akitoka Mkoa mnamuona ni Mshamba! Wakati wengi wenu mmetoka huko huko au kwevile mlitangulia?!
sio case...yaan umechukulia serious
Enjoy++
Kama mji wenyewe ni Dar , wote wakuja wenyeji wazaramo tu. MTU yeyote akielimishwa anaendana na mazingira kiurahisha.
Sawa Kaka nimekusoma be happy
Pamoja bro
Thanks.
Kama mji wenyewe ni Dar , wote wakuja wenyeji wazaramo tu. MTU yeyote akielimishwa anaendana na mazingira kiurahisha.