From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,826
Kuna size tofauti tofauti
Upande wa round poles zipo
5cm x 200 cm bei 18,000
3.3 inch x feet tall 8 bei 24,500
3.3 inch x feet tall 11 bei 36,000
Za pembe nne ni kama ifuuatavyo
2x2 feet 9 nyeusi bei 15,000
2x2 feet 9 nyeupe bei 17,000
4x2 feet 7 nyeusi bei 25,000
4x2 feet 7 nyeupe bei 33,000
4x4 feet 8 nyeus bei 34,500
4x4 feet 8 nyeupe bei 40,000
4x4 feet 10 nyeusi bei 42,000
Yess mbao ni imara na ngum sanaSafi sana. Najaribu kufikiria kuhusu uingiaji wa msumari kwenye plastic. Uimara wa msumari ukoje?
Hapana Dodoma bado hatujafika, Tunapatikana Dar es salaam Tegeta kwa ndevu, kama unahitaj unatoa order then kuna malipo kidogo ya usafirishaji unalipia then tunakutumia mzigo wako.Dom mnapatikana?
Thanks alot bossgood stuff
Bei zetu upande wa polesweka bei tutafakari?
Zinateketea kama zilivyo mbao zingine na vitu vinginenaomba kujua kama kwenye majanga ya moto haziteketei?
Loud and clear boss. Tutaona cha kufanya.Hapana Dodoma bado hatujafika, Tunapatikana Dar es salaam Tegeta kwa ndevu, kama unahitaj unatoa order then kuna malipo kidogo ya usafirishaji unalipia then tunakutumia mzigo wako.
Tuko pamoja bossLoud and clear boss. Tutaona cha kufanya.
ThanksGood