We really miss you , where are you?

Sijui kwanini naona kama huyu mtu kashashika madaraka muda mrefu, kumbe hata 2 years bado.
 
Na bado mtamkumbuka sana,Ngosha kashika mpini
hasila za mala kwa mala,
kutokua na furaha ,kupenda visasi,kutotaka kusamehe,kutokua na huruma kwa binadamu wenzio,kupenda kuwakomoa wenzio,kuwa na moyo wa husda.
kunamfanya mtu azeheke haraka.
 
Mpaka mjue kusoma namba za kiebrania mtakuwa mmeshika adabu vya kutosha
 
hasila za mala kwa mala,
kutokua na furaha ,kupenda visasi,kutotaka kusamehe,kutokua na huruma kwa binadamu wenzio,kupenda kuwakomoa wenzio,kuwa na moyo wa husda.
kunamfanya mtu azeheke haraka.

Kwa hiyo mkuu wote tunaoota mvi tumlaumu huyu jamaa? Hahahahaha...

Ila Ngosha.....labda akijenga flyovers watanzania watasahau machungu ya maisha hata akiondoka madarakani. But anatunyoosha aiseee.

The point is the man doesn't care!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…