We need to be realistic uchumi needs practicality not slogans; Kitila Mkumbo hujasoma dira ya taifa 2000-2025?

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,099
Reaction score
802
Habari Zenu Wadau,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi,

Leo kama Taifa tumezindua DIRA ya maendeleo ya Taifa letu(TDV) na Rais Samia akiandika record baada ya Mkapa. Changamoto kubwa ni kuwa tunaandika Dira ya Taifa bila kuwa na Katiba imara ya kuilinda. Tumeshuhudia ndani ya miaka 25 kila Rais anayeingia ana vipaumbele vyake na njia zake za kutekeleza na hii imepelekea Dira ya 2025 Kwa kiasi kikubwa kutofanikiwa mfano malengo ya Dira 2025 ni;
1). Kuwa na Kilimo cha Kisasa ( Modernising Agriculture)
2). Kuondoa Umasikini wa kipato (per capita)
3). Developing infrastructure
4). Advancing technology
5). Driving to Industrial Transformation
6). Elevate a country to Middle - Income Status.
Mwaka 2020 Nchi yetu ikaingia kwenye uchumi wa kati wa Chini baada ya miaka 20 na ongezeko la 170 USD baada ya miaka 20 ( katika miaka 20 ongezeko ni 170 USD) na GDP Kwa sasa ni 84B USD kutoka 64B USD (hapa at least we do better compared to per capita).

Dira ya maendeleo 2050 inalenga;-
1). Tanzania is Industrialised Upper Middle - Income Country with a USD 700B economy & a Per capita of between 4,700 - USD 8,000.
2). Tanzania has eradicated Extreme Poverty & has fewer than 5% of the population living below the poverty line.
3). Tanzania is a leading Food Producer in Africa & among the top Ten Food Producers in the World etc .
✓Kiubinadamu ni lazima upate mashaka kama toka 2000-2022 ndani ya miaka 22 tumepunguza Umasikini Kwa 10% kutoka 36-26 Kitila hapa hajasema mbinu tofauti na zile za 2025 TDV.
√ Ni ngumu Sana kuamini hadi 2050 per capita itakuwa 4,700- 8,000 USD au GDP itakuwa 700B USD huku Kwa TDV 2025 Per capita imekuwa Kwa 170 na GDP Kwa 10% hapa calculation zinagoma.
√ Tanzania itakuwa mzalishaji Mkuu wa Chakula Africa Kwa mpango upi huu wa BBT?
Kiukweli 2050 TDV ni marudio ya 2025 TDV Kwa mambo mengi.
Rais Kikwete alisema anatamani kuwa Rais wa mwisho kuongoza Nchi masikini what happened?
Mipango yote ya 2025 TDV ilifikia wapi? Tumefanikiwa Kwa kiasi gani?
Nazani tumeandaa document theoretically & practically cannot be attained otherwise we need to change leadership style sio hii ya kupoteza 1.5 Trillion & Inefficiency Kwa sectors zetu ( CAG's Report)
Dira inaongelea issues like Equity, Freedom of Expression, Unity , Dignity, Freedom of assemblies & Cultural Ethos.
Swali tupo tayari kulipa gharama ya hiki tulichoandika?
Tuna hiyo gut of keeping opinions from others especially opposition?

KITILA MKUMBO kama Waziri kiukweli hajatutendea haki kama Watanzania sina hakika kama alikuwa anawawazia Watanzania hawa 2025-2050. Implementation analysis of 2050 TDV haina tofauti na 2025 TDV.

Mwisho niseme people need today's solution that reflecting the 25 years to come.
Dira inasemaje kuhusu wahitimu wa kidato cha sita 2026 kuhusu Mikopo au graduates 2026 kuhusu ajira?
Waziri we live once we need immediate solution & we can't anticipate problems to be solved in 2030 because are within a range of TDV 2050, tunatokaje sasa maana kizazi kinapita 2030 huko ni mbali kwao.

Next time I will come with best analysis of this 2050 TDV Leo niishie hapa.

Shukran Sana ndugu zangu.

Watu wetu wengi vichwa vimejaa nadharia na Tanzania kwao ni kama shamba darasa la kujifunzia theory walizosoma shule.

Systems need mature heads.

ndani ya viunga vya Fallujah-Iraq.
 
Habari Zenu Wadau,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi,
Leo kama Taifa tumezindua DIRA ya maendeleo ya Taifa letu(TDV) na Rais Samia akiandika record baada ya Mkapa. Changamoto kubwa ni kuwa tunaandika Dira ya Taifa bila kuwa na Katiba imara ya kuilinda. Tumeshuhudia ndani ya miaka 25 kila Rais anayeingia ana vipaumbele vyake na njia zake za kutekeleza na hii imepelekea Dira ya 2025 Kwa kiasi kikubwa kutofanikiwa mfano malengo ya Dira 2025 ni;
1). Kuwa na Kilimo cha Kisasa ( Modernising Agriculture)
2). Kuondoa Umasikini wa kipato (per capita)
3). Developing infrastructure
4). Advancing technology
5). Driving to Industrial Transformation
6). Elevate a country to Middle - Income Status.
Mwaka 2020 Nchi yetu ikaingia kwenye uchumi wa kati wa Chini baada ya miaka 20 na ongezeko la 170 USD baada ya miaka 20 ( katika miaka 20 ongezeko ni 170 USD) na GDP Kwa sasa ni 84B USD kutoka 64B USD (hapa at least we do better compared to per capita).

Dira ya maendeleo 2050 inalenga;-
1). Tanzania is Industrialised Upper Middle - Income Country with a USD 700B economy & a Per capita of between 4,700 - USD 8,000B.

Kongole sana kwa uzi wa chakula ya ubongo wenye facts tupu.

Hii dira imeacha mambo mengi sana ya msingi ambayo kama Taifa inabidi yatekelezwe kimipango ya muda mrefu.
 
Kwa lugha ya Tundu Lissu, hii 2050 TDV ni professorial garbage!
 
Isome tena dira uielewe, siyo kukurupuka kuanzisha uzi tu.

Hiyo namna ya ku achieve yaliyotajwa itakuwa katika mipango kazi ya muda wa kati. Dira haipaswi kuwa too detailed
 
Attachments

Swala la kupunguza umaskini watu wanaingiza siasa, namba zina tengenezwa ili uongozi na utawala uonekane umefanya kazi nzuri hilo tu ndio wanacho jua, hata siku moja hutasikia serikali inatangaza kwa awamubyeyote ile kuwa haoa hatujafanya vizuri. Ila ipo siku majibu ya hali halisi yatawekwa hadharani
 
Isome tena dira uielewe, siyo kukurupuka kuanzisha uzi tu.

Hiyo namna ya ku achieve yaliyotajwa itakuwa katika mipango kazi ya muda wa kati. Dira haipaswi kuwa too detailed
Do you think sijasoma as I gave a brief from a lot. Did you observe different strategies out of those of 2025 TDV?
I think na wewe ni kama Kitila hujasoma 2025 TDV .... au mna personal interest.
 
Tundu Lissu ndiyo nani? Anawatetemesha mambumbumbu tu. Kwa vile ni mbishi wajinga wanamuona ni mjuzi sana.
Mbishi huachwa abaki na ubishi wake...

Cha ajabu huyu mbishi, mnafungia gerezani bila makosa bali kwa sbb ya ubabe wa kijinga tu kwa sababu ubishi wake ni against your personal interests kwa kilitakia mema taifa na nchi hii na sisi nduguze wananchi wenzake. Sisi tinamuelewa Tundu Lissu na CHADEMA in and out...

Hata wewe anakutetemesha ndio maana unaandika kujifanya kama humjui vile, wakati huohuo ukijua kumbe "ni yule anayewatetemesha.."

Anyway, back to the topic:

Wewe kama umeilewa hii TDV 2050, jibu maswali ya msingi ya mleta hoja kwa kadiri ya uelewa wako. Acha kutoa sweeping statements za "itaelezwa kwenye mipango ya muda mfupi mfupi..."

Na kwanini TDV 2050 isiwe specific Ili hao watengeneza mipango ya muda mfupi wa extract everything from TDV 2050..?

Hoja ambazo ziko raised ziko hapa👇👇. Namkuu mleta hoja;

"......✓Kiubinadamu ni lazima upate mashaka kama toka 2000-2022 ndani ya miaka 22 tumepunguza Umasikini Kwa 10% kutoka 36-26 Kitila hapa hajasema mbinu tofauti na zile za 2025 TDV.

√ Ni ngumu Sana kuamini hadi 2050 per capita itakuwa 4,700- 8,000 USD au GDP itakuwa 700B USD huku Kwa TDV 2025 Per capita imekua Kwa USD 170 na GDP Kwa 10% hapa calculation zinagoma...."

1. Wewe unasemaje kwa hoja hizi mbili....?

2. Wewe umeisoma na kuilewa hii TDV 2050, au siyo? Basi toa analysis yako kwa kadiri ya uelewa wako, kwamba, hii TDV 2050 inataja mikakati gani ya kutumika tofauti na ile iliyotumika katika TDV 2025 ambayo achievement ya malengo yaliyokusudiwa kufikiwa ni kidogo sana chini ya 25%...?

3. Usiseme kuwa kuwa njia na mikakati itakuwa inaelezwa ktk mipango ya muda mfupi mfupi. HAPANA, haiko hivyo. TDV 2050 inatakiwa ieleze specific njia na mikakati in its broadway ya namna ya ku - achieve goals za TDV 2050. Swali linaulizwa, ipo? Iko wapi katika Dira hii..?

4. Kukusaidia tu, japo hamtaki kabisa kuambiwa na kulichukua hili, kwa sababu ya ujinga na kiburi chenu, mleta hoja na wadau wamesema na wanaendelea kusema kuwa maono (visions) kama yasipolindwa kikatiba, ni sawa na kuachia bucha fisi Ili ailinde....

5. Tunapoendekeza na inapendekezwa mpaka sasa kuwa, kuwe na maboresho ya katiba yetu ya 1977 kwa kuweka vizuizi vya kila Rais anayekuja kuja na mipango yake akivuruga ya aliyemtangulia ambako ndiko kunakotufanya tuwe stagnant badala ya kupiga hatua kubwa..

Ndiyo tunakuuliza wewe Stuxnet unasemaje kuhusu hili?

CC: Pulchra Animo
 
Sina ubishi kuhusu Katiba Mpya itakayo linda vision ya nchi ili kuzuia Rais yeyote kuja na mambo yake na kuacha yaliyokubaliwa.

Lakini lazima tu appreciate kuwa blue print ya TDV 2050 ilikuwa lazima itoke wakati tukisubiri Katiba Mpya. Usipokuwa na dira unaweza kufanya lolote.

Lewis Carrol anasema "If you don't know where you're going, any road will take you there"
 
Habari Zenu Wadau,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi,

Leo kama Taifa tumezindua DIRA ya maendeleo ya Taifa letu(TDV) na Rais Samia akiandika record baada ya Mkapa. Changamoto kubwa ni kuwa tunaandika Dira ya Taifa bila kuwa na Katiba imara ya kuilinda. Tumeshuhudia ndani ya miaka 25 kila Rais anayeingia ana vipaumbele vyake na njia zake za kutekeleza na hii imepelekea Dira ya 2025 Kwa kiasi kikubwa kutofanikiwa mfano malengo ya Dira 2025 ni;
1). Kuwa na Kilimo cha Kisasa ( Modernising Agriculture)
2). Kuondoa Umasikini wa kipato (per capita)
3). Developing infrastructure
4). Advancing technology
5). Driving to Industrial Transformation
6). Elevate a country to Middle - Income Status.
Mwaka 2020 Nchi yetu ikaingia kwenye uchumi wa kati wa Chini baada ya miaka 20 na ongezeko la 170 USD baada ya miaka 20 ( katika miaka 20 ongezeko ni 170 USD) na GDP Kwa sasa ni 84B USD kutoka 64B USD (hapa at least we do better compared to per capita).

Dira ya maendeleo 2050 inalenga;-
1). Tanzania is Industrialised Upper Middle - Income Country with a USD 700B economy & a Per capita of between 4,700 - USD 8,000B.
2). Tanzania has eradicated Extreme Poverty & has fewer than 5% of the population living below the poverty line.
3). Tanzania is a leading Food Producer in Africa & among the top Ten Food Producers in the World etc .
✓Kiubinadamu ni lazima upate mashaka kama toka 2000-2022 ndani ya miaka 22 tumepunguza Umasikini Kwa 10% kutoka 36-26 Kitila hapa hajasema mbinu tofauti na zile za 2025 TDV.
√ Ni ngumu Sana kuamini hadi 2050 per capita itakuwa 4,700- 8,000 USD au GDP itakuwa 700B USD huku Kwa TDV 2025 Per capita imekuwa Kwa 170 na GDP Kwa 10% hapa calculation zinagoma.
√ Tanzania itakuwa mzalishaji Mkuu wa Chakula Africa Kwa mpango upi huu wa BBT?
Kiukweli 2050 TDV ni marudio ya 2025 TDV Kwa mambo mengi.
Rais Kikwete alisema anatamani kuwa Rais wa mwisho kuongoza Nchi masikini what happened?
Mipango yote ya 2025 TDV ilifikia wapi? Tumefanikiwa Kwa kiasi gani?
Nazani tumeandaa document theoretically & practically cannot be attained otherwise we need to change leadership style sio hii ya kupoteza 1.5 Trillion & Inefficiency Kwa sectors zetu ( CAG's Report)
Dira inaongelea issues like Equity, Freedom of Expression, Unity , Dignity, Freedom of assemblies & Cultural Ethos.
Swali tupo tayari kulipa gharama ya hiki tulichoandika?
Tuna hiyo gut of keeping opinions from others especially opposition?

KITILA MKUMBO kama Waziri kiukweli hajatutendea haki kama Watanzania sina hakika kama alikuwa anawawazia Watanzania hawa 2025-2050. Implementation analysis of 2050 TDV haina tofauti na 2025 TDV.

Mwisho niseme people need today's solution that reflecting the 25 years to come.
Dira inasemaje kuhusu wahitimu wa kidato cha sita 2026 kuhusu Mikopo au graduates 2026 kuhusu ajira?
Waziri we live once we need immediate solution & we can't anticipate problems to be solved in 2030 because are within a range of TDV 2050, tunatokaje sasa maana kizazi kinapita 2030 huko ni mbali kwao.

Next time I will come with best analysis of this 2050 TDV Leo niishie hapa.

Shukran Sana ndugu zangu.

Nimekuelewa sana….

Kuna maswali mengi sana na Mengine wala siyo magumu

How do we hold accountable watu wanaoweka targets bila mifumo thabiti ya uwajibikaji?

Where is a scientific analysis ya tdv2025???

One thing I am happy ni kuendelea kuweka siasa za vyama na majukwaa pembeni

Dira isiendekeze siasa za kasimu na mihemuko

I hope watakuja na BRN model ya kutekeleza dira ikiwa na mikakati iliyo spwcific kisekta na target population… bila kulinda youth population, tena isiyo tegemea vouchers na alawansi Kwa majobless… taifa litaingia kwenyr serious collapse in 4-10 years
 
Kitila siyo waziri tu, ni Professor pia.

Kodi hatukusanyi ipasavyo. Na hata kidogo runachokusanya kuna mamidomo makubwa ya kuitafuna hadi tunaanza kutafunana sisi kwa sisi.
 
Nimekuelewa sana….

Kuna maswali mengi sana na Mengine wala siyo magumu

How do we hold accountable watu wanaoweka targets bila mifumo thabiti ya uwajibikaji?

Where is a scientific analysis ya tdv2025???

One thing I am happy ni kuendelea kuweka siasa za vyama na majukwaa pembeni

Dira isiendekeze siasa za kasimu na mihemuko

I hope watakuja na BRN model ya kutekeleza dira ikiwa na mikakati iliyo spwcific kisekta na target population… bila kulinda youth population, tena isiyo tegemea vouchers na alawansi Kwa majobless… taifa litaingia kwenyr serious collapse in 4-10 years
ccm hawawezi kufanya hivyo labda kije chama kingine
 
Back
Top Bottom