We need CHADEMA on the electricity issue

Tatizo lako hutaki kufikiri by the way CDM wapo bungeni wanaibua hoja nzito likiwemo suala la umeme!!11
Wako bungeni kufurahisha watu, wao na ze comedy hawana tofauti. kila jambo lazima na wao wabishane. pumbafu wote.
 
sidhani kama Chadema wana cha kufanya zaidi ya kuishitaki CCM kwa wananchi. They know the game of politics.
 
Mngesoma hotuba ya Waziri kivuli wa nishati,mngeelewa kuwa wanasiasa wetu hawana jipya!
 
 
CCM mmeona yamewafika shingoni sasa mnaikimbilia CHADEMA, kwa lipi??? Acheni tu nchi iwe gizani ili magamba yenu yaonekane vizuri.
 
majasho nakufahamu wewe ni gamba la kobe lililokakamaa, unafanya nini huko kwa nape wakati wewe mwenyewe unaitegemea chadema ikukomboe?

kura ya rais 2010 nilimpa Kikwete, diwan CCM, Ubunge sikiona wakumpa, wanaa wote akiwemo wa chadema....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…