Uchaguzi 2020 We need a President who will restore Law, Order and Constitutional Rights

Sijui, labda WB wamekosea.
Unategemea mabeberu kufahamu uhalisia wa wananchi wako zaidi ya wananchi wenyewe? Ndo maana mkawaziba midomo na kuwajaza propaganda? Na uchaguzi mkuu msuburi kauli za hao hao mabeberu!
Formalities tu hizo ili WB wasitutoe kwenye list ya nchi za uchumi wa kati ya mapaja.
Kumbe unakubali kuwa uchaguzi ni kanyaboya?!😀👍🏽
 
Rais wa sasa kafanya kazi kubwa ya kurestore law and order.

Zile vurugu tulizozoea zimepungua kwa viwango vya kuridhisha.
Huwezi kurestore law and order kwa kuvunja sheria na katiba ya nchi! Unakumbuka Trump alivyokimbilia shimoni kisha akaita jeshi ili apige picha na biblia nje ya kanisa?
Kuna tofauti kubwa sana.
 
Rais ataendelea kuwa Magufuli mpaka 2025, na usishangae akatangazwa kwa 70% and above,

Tujiandae tu kisaikolojia mkuu

Asiposhinda atashindishwa
Na wananchi wakikataa; au hiyo siyo 'option'?

Na Mungu je, hatuwezi kumwomba msaada kama alivyotusaidia na COVID-19?

Mungu analipenda sana taifa letu!

Mtu anajitangazia "anakuja kuinyoosha nchi" na watu bila hata ya kuuliza kwa njia zipi, wanashangilia. Hiyo siyo kumpa ruhusa atumie njia zozote anazoona yeye zinafaa hata ikiwa ni nje ya sheria na taratibu zilizopo?

Haya mambo wakati mwingine tujilaumu wenyewe kwa kuyakubali.
 
Back
Top Bottom