We must protect our President Dr. Magufuli

Mmechanganyikiwa.
Kuna mwenzenu kule zenji domo lishapinda, linaelekea kusikojulikana!!!!

Kama mabaya yapo humu humu duniani basi ni lazima akumbane nayo, asije kuomba sympathy yetu atakapokuwa anakinywea kikombe cha uchungu.
Maana tazama itakuwa ni kwa utukufu wa MUNGU kujilipizia kisasi kwa mtu ajikwezaye asivyostahili.
Labda kama amri ya kuiba aliibatilisha yeye MUNGU.
 
What a fu...story yaani unashindwa kumlinda babaako na mamaako unaenda kumlinda ambaye hata hakutambui....yap Clinton kasema U.S.A kuna democratic constituton ambayo itadumu not only for 4yrs but 4rever.... vipi Tz ulikisikia alichojibu Pombe kuhusu constitution.???.. Sasa ya kwetu iko wapi???..."'WAITER ENDELEA KUZUNGUSHA POMBE USISAHAU KUJA NA ndalCHACOAL NIWASHIE BANG"'...
 
Tatizo siasa za kwetu tunakwenda "backwards". matokeo yanatoka watu wanapinga kwanza na kuja na hadithi nyingi za kuibiwa kura, mara tume inapendelea, mara hatumtambui rais, mara tunaandama, mara tunasusia bunge. Halafu baadae unasikia ....Mh. Rais tunaomba utusaidie barabara zetu hazipitiki, sasa kama ulikuwa humtambui rais, imekuwaje leo unamwita Mh. Rais? tujifunze kuvumiliana, siasa sio za mtu fulani, ni za nchi fulani. Lakini mimi na amini vijana wetu wanajifunza na wengine bado wageni sana kwenye siasa za vyama vingi.
 
kuna maeneo nimeweka bold humo, upinzani wa Tanzania wamejisahau. wenzetu wapo tayari kumsaidia rais wao kujenga nchi, na kushiriki ktk shughuri za maendeleo. Sisi tunakazana kumpinga rais na kuyumbisha maendeleo ya nchi. Inabidi tubadilike tuache siasa za maji taka
 
Kwani unadhani ni sahihi rais kuyapora madaraka ya Tamisemi?
Halafu tunyamaze?!!
Tuheshimiane tafadhali.

Wakishaona baraza la madiwani majority ni wapinzani ndio wanafuta hati na kubadili matumizi ya ardhi ili wakose (madiwani) ku practice majukumu yao kwenye platform iliyokuwepo awali?!!!!!!!

RAIS ANAFELI NA WAKATI ANAFELI HAJUI KUWA ANATUFELISHA KWA MACHUKI YAKE YA AJABU AJABU.
 
Trump ameahidiwa kupewa ulinzi na ushirikia hata hajatekeleza kitu kimoja, ili sisi tunampinga rais kabla hajaanza kazi na mara baada ya kuanza kazi ss baada ya kumsaidia kucha ni kumtukana na kutafuta ameteleza wapi
 
Kuna haja ya kumlinda wakati ukimtukana facebook unatupwa jela au unapigwa faini. Chombo cha habari kinachomkosoa kinafungiwa kwa kutoa habari za uchochezi, hata wanasiasa wa wa chama chake wanamuogopa. Nafkiri yeye mwenyewe ameshajilinda vyakutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…