We Mtu Mzima...Hatulingani Hatuendan!!!

We Mtu Mzima...Hatulingani Hatuendan!!!

kumbe mistari ya watu
sasa si ungeipeleka jukwaa husika??
huku husomeki kwa vile si mahala pake wewe.....
 
nimesema kama hujaelewa we kausha tu...mbwembwe nyiiingi!!!! mistari ya mshikaji wangu Nikki wa pili!!!! sasa ww umekurupuka usingizini unaleta upompompo tu...mweeeeeee give me a break!!!!!!!

mmh mbona ni kama wewe ndo umekurupuka usingizini......,
I think you should give yourself a break..
 
Kwani wewe umezaliwa tisini na ngapi vile?

Mimi nimeelewa kwa sababu pia ndo ugomvi wangu na walionizidi umri (na majukumu). Acha vijana wawe vijana lol
Hamjaamwelewa @Chopeki, mi nimemwelewa na naunga mkono!
 
Wa 60 na 80 hatuwezi make,
Na kabla sijahema washakugema sana mafataki,
Shikamoo unakaza.. umri ka maza,
Na mi sio faza ni vipi nitakuliwaza?!
Unataka kunikuza ah wapiiii!!!!!!
~~ukickia paa ujue imekupata!!~~
Nikikukera leave me alone,na kama hujaelewa we mute tu inaruhusiwa!!!!!!
I'm out.. 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂:heh::heh:

ungeenda kwenye jukwaa la burudani haya mabango usingeyapata ila poa komaa nayo tu
 
ungeenda kwenye jukwaa la burudani haya mabango usingeyapata ila poa komaa nayo tu
kuna mabango yoyote kweli hapa au mtazamo wangu.... nimewagusa wengi kumbe!!!
 
hilo paa nahisi limekupata mwenyewe.....,
tena limekupata haswaa maana hadi keybord haisomeki upo kuchapia maneno
Aseee.... nahisi kati ya watu woote we ndo nimekukera zaidi pole nivumilie tuu... hahahaaaaa:heh::heh::heh:
 
Back
Top Bottom