We mpende tuu

Twahil kaupa

Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
43
Reaction score
50
Unajua katiia hali ya kawaida mapenzi yanajengwa kwa vingi. Unajua kwanini mtu anaweza kuwa na mtu mmoja kwa muda mrefu sana halafu mahusiano yakavunjika kwa sababu tofauti, lakni ikawa kila akijaribu tena kumpenda mtu lakini baada ya muda yanavunjika?

Sasa hii ni hivi, binadamu anakitu kibaya sana, nayo ni tabia ya kupokea miitikio. Yaani ukikaa na mtu kwa muda basi unachukua zile tabia zake na zinakua zako, na kinachotokea ni unataka kila mtu awe na tabia kama za yule uliyekuwa naye mwanzoni hasa zile nzuri.

So ikitokea ukampata ambaye naye ana akili kama zako kuhusu alikotoka basi kila siku ni ugomvi tuu mpaka mtashindwa.

Kwahiyo kama ikikutokea jambo kama hilo na bado unaona unamuhitaji basi we mpende tu. Itachukua muda kushiba sheria zako, sema mpende sana. Upendo utakuokoa tabia ya kuachana si mzuri.
 
Mpende mpk awe ktk njia yako si umewai kuona mwanamke ameolewa alaf bado anapgwa Na mshikaj wake wa kitambo ,tatzo Ni unaish Na mtu ambaye haishi ktk njia yako so chagua Ni kumpenda tu au kumuacha tuu ila mi nashaul mpende tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…