Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,843
Hlf unarudi hom unakuta wali biriani unakula uku umekenua menoBuku mbili
ndio uhalisia wa maisha mkuuKuacha kodi ya meza kila siku ni dalili ya umasikini
mkuu hii itakuwa ya mwezi au
kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwakeAcha kuruka km maharagwe lete majibu unaacha ngapi?
Uhalisia wa kimasikini sio?ndio uhalisia wa maisha mkuu
50,000÷31 = 1,612.9032258065
"Kuacha hela ya kula" Ni mipango ya maisha ya uswahilini sana isee!Weka mambo hadharani.
Ukweli utakuweka huru
Hivi wamama na wao wanaacha ya mezani au tuwaache kwanza?
unaonekana sio mnoko nyumbnKuacha hela mezani ..style ya zamani Sana..
Hakikisha nyumba ina chakula Tu gas...na ulipie king'amuzi housegirl atulie kutazama sinema zetu akishapika......
mkuu hayo ndo maisha ya kawaida kabisa ya zaidi ya 90% ya watzania wanaoishi chini ya dola moja."Kuacha hela ya kula" Ni mipango ya maisha ya uswahilini sana isee!
Na mkeo usipomshirikisha kutengeneza bajeti tu ndogo ya chakula hapo nyumbani, mpaka uache cash kila siku unamuandalia dhahama kubwa sana katika future yake.
Wee mwanaume hivi unaijua kesho yako?
Let say umegongwa barabarani huko umekata moto, umezolewa na patrol kwa uzurulaji wako umeenda kuswendemwa ndani na mambo yafananayo na hayo, huyo mkeo na watoto kwa siku hiyo usiyokuwepo ghafla wataishije?
"Kuacha hela ya kula" ni maisha ya kishamba shamba na uswahili swahili ambapo mtu aliyestaarabika hauwezi kuona comment yake hapa akijadili chochote, maama ni maisha ya aibu sana hata kuyaongelea.
Maisha ya namna hiyo hayaendani na kipato bali ni tabia ambayo makabila mengine huita 'ubhanzi', tabia ya kuhesabu finyango za nyama jikoni na kuelekeza mke asipike chakula cha ziada ya ulichokitoa hata kama mgeni kaja hadi kwa kibali chako!
ndio mkuu. Oa bana upikiwe na mtoto wa watu.Kumbe nikioa kuna suala la kuacha kitu mezani asee, Zoezi la kuoa nimelisogeza mbele miaka saba tena ili nifanye mazoezi ya kuacha mezani kwanza.
Siyo kukulia ushuani wala nini, isipokuwa kunyofoa kila siku toka mfukoni hela ya chakula, wewe unaona ni njia sahihi ya kuhandle familia?mkuu hayo ndo maisha ya kawaida kabisa ya zaidi ya 90% ya watzania wanaoishi chini ya dola moja.
Kama umezaliwa ushuani hauwezi kujua
Vipisi vya sigara.....Mabachela tunaacha nn mezani wapi
Mrembo mambo vpVipisi vya sigara.....