We listen but we dont Judge!!!

Status
Not open for further replies.
Miaka inayokuja sitashamgaa kuona ndoa za jinsia Moja Tanzania ..usagaji na USHOGA ukitamalaki kwa Kasi. Wanasema ni free world au sio...Mungu alisema mboo ndio itaingia kumani, na sio vinembe kusuguana. Am out.
 
Na sio Tanzania tu, sasahivi hii hali ni everywhere.
Huenda binadamu hatujui inasababishwa na nini haswa ndio maana tumeshindwa kuidhibiti
 
naungana na pendaeli kwamba huyu dada kuna hali anapitia kwaiyo anapaswa kusaidiwa, kutokana na mfululizo wa mada zake huenda ana changamoto kwenye mahusiano yake yanayompa changamoto za ki saikolojia, aliwai kusema anapenda vijana wadogo, aliwai kusema kwenye ndoa watu wanaficha upande wao m baya ili wadumu... kwaiyo kuna changamoto ya kisaikolojia inayosababishwa na mahusiano yake

all in all masai dada ni mtu wa maana sana humu jukwaani
 
Na sio Tanzania tu, sasahivi hii hali ni everywhere.
Huenda binadamu hatujui inasababishwa na nini haswa ndio maana tumeshindwa kuidhibiti
Hii hali kuna watu wanaicontrol na kuisambaza kwa makusudi kabisa,
Moja ya lengo kuu ni ku Depopulation.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…