Hakuna mwenye namba zake?
..Issue sio sura ni kazi, ina maana kabla hajaamua kujiunga na jeshi la polisi ni kwamba kazi zinazofanana na za salon zilishashindikana mwacheni dada afanye kazi na inaonyesha anazimudu!!
This is exactly the type of publicity that is detrimental to the security of each individual policeman/woman.
Mantiki ya kupongezana hadharani kwa kitendo hiki mimi siioni kabisa.Sijui Standing Orders zinasemaje katika utekelazji mzuri wa kupambana na majambazi lakini sana sana ni kuhatarisha maisha ya vijana hawa ambao wamefanya kazi yao vizuri na kwa umakini.
Kamanda Kova lazima aelezwe kuwa kitendo kama hiki hakimsaidiii sana in the long run.
Exposure ya identity ya hao vijana to the public at large is surely uncalled for.
Si unajua tena bongo, kila kitu shaghalabaghala. Mtu hakai chini one minute kupima hizi stunts za Pr zina athari na unyeti gani kwa wahusika.
Hawa ni askari wa kawaida si sidhani kama kujulikana ni hatari.......hata yule dada wa marekani aliyempiga risasi yule maj. aliyewapiga risasi askari wenzake kambini alitangazwa hadharani kwa ushujaa wake.
Hata yule traffic police aliyepambana na majambazi pale ubungo alikuwa anajulikana na wala hakuna issue ya secrecy pale.

mkuu hii nchi yetu ina maajabu sana. Unaweza ulawaelewesha hata wasitambue ni nini unachoongea. We ve got serious &thinling' problems at top level management of our nation....usilinganishe mambo ya Marekani na hapa bongo.
Bongo hakuna ulinzi wa aina yoyote wa 24 hrs kwa watu wake dhidi ya majambazi.It is prudent to play it safe kwa kutomwaga mpunga kwa kuku wengi, at worst ni kuwaweka hawa vijana at risk.