We honestly need brothers, I adore secret societies for this.

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,237
Reaction score
4,384
Yaani kuna saa uki observe namna maisha yanavyokwenda, whether unaishi Africa au wherever. Kama umebahatika kuwa na familia yenye mke na watoto, kuna saa huwa unajiuliza ya kwamba, kama nitakuwa sipo duniani leo hii, welfare ya hawa viumbe in terms of uhakika wa kuishi vizuri na mtu wa kuwaongoza itakuwa certain kwa kiasi gani?

Inawezekana watu wengi wapo busy sana kutafuta hela wakidhani kwamba hiyo ni guarantee ya maisha ya watoto wao, lakini embu tujiulize, ni watoto wangapi wa matajiri ambao wazazi wao walikufa wakaacha wadogo labda na miaka 7, kama watakuwa na possibility ya kuzikuta hizo mali baada ya miaka 5 tu kutoka ufariki??

Wengine wetu ukichunguza hata wanaokuzunguka, ndugu na marafiki, unaona kabisa kwamba hapa hakuna mtu naweza sema kwamba anaweza kuchukua jukumu la ku take care my family when am not there.

Tumezungukwa na watu ambao ni very much selfish creatures na mbaya zaidi wana destructive mindset.

Na katika kufuatilia secret societies kama Freemason nikaja kugundua kwamba, they are kind of lifetime investment a person can choose.

Wana kauli yao pendwa huwa naipenda sana 'Brothers help each other'. Mimi hii imenigusa sana, na huwa inaenda mbali sana, yaani mtu anaweza kufa akaacha familia yake labda ina watoto wadogo lakini there are faithful people looking after your family. Utajikuta mpaka mtu anasoma anamaliza then ana land a job cause kuna watu ambao walishaform brotheehood ya kufa na kuzikana.

Na hivi vitu vina happen in the real world. Ukienda kwenye hizi best of the best international schools in Tanzania utakuta kuna watu wanasomeshwa kwa scholarship etc

Uzi wangu hauna hata maana yeyote, ila ninachowaza ni kwamba, usije ukajikita kwenye kutafuta sana pesa, kuna vitu vya ku add value na ku invest ni muhimu sana kuviangalia kwa ustawi na uhakika wa maisha ya familia yako.
 
Sawa
Ila kina nani hao??
Mtu aache kutizama kwake akutizame weye?

Anyways..tunaunda vipi Secret Societies zetu??.
Ndo maana nikasema ubinafsi ni tatizo kubwa sana linatuzonga.

Nikuambie kitu, unaweza kabisa kutizama nyumba yako na kutizama nyumba ya mwenzako. Hivi vitu sio subtitute, kwamba eti ukitazama nyumba yako basi huwezi tazama nyumba ya mwengine.

Kuishinda tabia ya ubinafsi lazima uishi kwenye mfumo fulani wa kukufundisha kutoa na kusaidia, ndo maana kumbe hizi secret societies wanatoa sana misaada, ni namna bora ya kuishinda hii vita ya ubinafsi.

Sasa ukiwa na brothers ambao sio selfish na wenye moyo wa utoaji lazima watakuwa concerned na maisha ya familia yako. Sio wewe upo masomoni ulaya mtoto anadaiwa laki tano, they take responsibility sawa sawa na kama wewe ungekuwepo.

Yaani hakuna kitu kizuri kama hicho, kwasababu utakuwa unaishi maisha ya kujiamini
 
Yaani kuna saa uki observe namna maisha yanavyokwenda, whether unaishi Africa au wherever. Kama umebahatika kuwa na familia yenye mke na watoto, kuna saa huwa unajiuliza ya kwamba, kama nitakuwa sipo duniani leo hii, welfare ya hawa viumbe in terms of uhakika wa kuishi vizuri na mtu wa kuwaongoza itakuwa certain kwa kiasi gani?

Inawezekana watu wengi wapo busy sana kutafuta hela wakidhani kwamba hiyo ni guarantee ya maisha ya watoto wao, lakini embu tujiulize, ni watoto wangapi wa matajiri ambao wazazi wao walikufa wakaacha wadogo labda na miaka 7, kama watakuwa na possibility ya kuzikuta hizo mali baada ya miaka 5 tu kutoka ufariki??

Wengine wetu ukichunguza hata wanaokuzunguka, ndugu na marafiki, unaona kabisa kwamba hapa hakuna mtu naweza sema kwamba anaweza kuchukua jukumu la ku take care my family when am not there.

Tumezungukwa na watu ambao ni very much selfish creatures na mbaya zaidi wana destructive mindset.

Na katika kufuatilia secret societies kama Freemason nikaja kugundua kwamba, they are kind of lifetime investment a person can choose.

Wana kauli yao pendwa huwa naipenda sana 'Brothers help each other'. Mimi hii imenigusa sana, na huwa inaenda mbali sana, yaani mtu anaweza kufa akaacha familia yake labda ina watoto wadogo lakini there are faithful people looking after your family. Utajikuta mpaka mtu anasoma anamaliza then ana land a job cause kuna watu ambao walishaform brotheehood ya kufa na kuzikana.

Na hivi vitu vina happen in the real world. Ukienda kwenye hizi best of the best international schools in Tanzania utakuta kuna watu wanasomeshwa kwa scholarship etc

Uzi wangu hauna hata maana yeyote, ila ninachowaza ni kwamba, usije ukajikita kwenye kutafuta sana pesa, kuna vitu vya ku add value na ku invest ni muhimu sana kuviangalia kwa ustawi na uhakika wa maisha ya familia yako.
Unatoka kutoa kafara wewe, rudi kwa Yesu haraka
 
Kama ni suala la kusaidiana society ya uswahili ni ngumu sana kusaidiana na sielewi roho hizo mbaya zinatoka wapi maana siamini ni umasikini maana nimeona masikini wanaosaidia hata kama hana hela atatoa msaada wa nguvu hata ushauri
Wengi ni ubaya tu
Kama nina mtu akiniambia nimepata shida au nataka kwenda kuzika au chochote bila kuniomba msaada nitajua anahitaji msaada nitatuma bila maswali
Na hata kama jirani mtoto kakosa ada naweza kusaidia
Hakuna anaenijua humu ila huu ndio ukweli, waafrika wengi hawapendani
Bora wazungu baadhi ya nchi wameweka mfumo wa kusaidia wanaohitaji kuanzia matumizi mpaka hospitali na hata kulipiwa nyumba
Hapo wanakuwa hawana hofu ya maisha
 
Back
Top Bottom