DEMBA simuachi Lady doctor kamwe!
Shosti na wewe Kaizer wa nini? Mume mwenyewe bazazi. Kutwa anakuliza. Hamia kwa Opera Min. Jina lenyewe tu mi hoi. Huchoki ladha ile ile ya Kaizer. Isitoshe ameshazeeka. Badili testi basi.🙂🙂
cc Lady doctor.
we humuachi lakini yeye anapanga kukuacha shaulilo..asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
nimebanwa na maandalizi ya pepa za nbaa. nina kimeo kinanisumbua kweli!niombee dada!