We dada niliekunyang'anya elfu 2 niliyokupa nisamehe

We dada niliekunyang'anya elfu 2 niliyokupa nisamehe

Mnaom-diss mleta mada mnakosea sana. Hivi mlitaka atenganishwe vipi na buku mbili yake wakati hadi chipsi ashamnunulia mjamzito?

Inamaana nyie hamjui kitu inaitwa 'value for money' angepewa huduma murua akachukua na hela yake hapo sawa na mimi ningemlaumu. Safi kijana hiyo buku mbili mnunulie maza ako vocha.
 
Back
Top Bottom