hajikagoro JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 217 Reaction score 188 Jun 15, 2019 #121 Aisee wadada/wamama wengine wanafanya kusudi kabisa kutumia mbanano kwenye daladala kugusisha misambwanda yao na kidume ukiwa umevaa nguo nyepesi na ukipeleka hisia unaeza ukapatwa mfadhaiko... Wadada punguzeni hizi mambo...
Aisee wadada/wamama wengine wanafanya kusudi kabisa kutumia mbanano kwenye daladala kugusisha misambwanda yao na kidume ukiwa umevaa nguo nyepesi na ukipeleka hisia unaeza ukapatwa mfadhaiko... Wadada punguzeni hizi mambo...
ankai JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 3,282 Reaction score 4,260 Jun 15, 2019 #122 Mwendokasi kasi msambwanda wa mwendo pole apo ni lazima mambo yacolide
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,959 Reaction score 27,494 Feb 11, 2021 #123 Aisee