We dada kwenye mwendokasi

Nimekumbuka hii, kuna day nimewaka kijento meni. Napanda mwendo kasi kwanza namuona bidada yani a "lady"haswa, old sana kwangu waiti balaa. Tupo ndan yuko mbele angu wala watu Si wengi nafasi kibao wazi . akaanza kunigusisha wowowo. Dah. Nikawanajitahidi ivo ivo mnara ukipanda nageuza mawazo. Kufika shekilango nikarudi nyuma kabisa yule Dada akageuka full kuntazama . dah alinionea sana AF enz izo nilikua bado janja. Alikua anataka nini?
 

😀😀😀alikuwa mke wangu huyo next time uweke siri moyoni...
anyway kwa sasa nimeshajua aliyekuwa anataka kunihujumu kumbe wewe hapo!
 
Jifunze kimombo vizuri au uandike kiswahili, was u ndo nini? Tumbaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…