We dada kwenye mwendokasi

Msiniambie
hii hapo
Screenshot_20190524-122856.jpeg
 
Nimekumbuka hii, kuna day nimewaka kijento meni. Napanda mwendo kasi kwanza namuona bidada yani a "lady"haswa, old sana kwangu waiti balaa. Tupo ndan yuko mbele angu wala watu Si wengi nafasi kibao wazi . akaanza kunigusisha wowowo. Dah. Nikawanajitahidi ivo ivo mnara ukipanda nageuza mawazo. Kufika shekilango nikarudi nyuma kabisa yule Dada akageuka full kuntazama . dah alinionea sana AF enz izo nilikua bado janja. Alikua anataka nini?
 
.. .. Niko msimbazi B . uyo ndani ya mwendo kasi purukushani za APA na pale, bahati mbaya uyu lady kasimama mbele yangu, aagh sipendi "scenario" ka iz. Yuko ndani ya baibui.. Ushungi juu. A bit short. Basi bana Na ile kitu ilikua express. Nilikua najaribu kuukwepa msambwanda wako ila ndo vile tena wewe ulikua unauleta. Damn u was even going down Mara up. We Dada wewe ! .wat was u thinking? Yu know I cud feel ur softness, .
Uzuri nilikua namsikiza j.cole
#love yours. .

:D:D:Dalikuwa mke wangu huyo next time uweke siri moyoni...
anyway kwa sasa nimeshajua aliyekuwa anataka kunihujumu kumbe wewe hapo!
 
.. .. Niko msimbazi B . uyo ndani ya mwendo kasi purukushani za APA na pale, bahati mbaya uyu lady kasimama mbele yangu, aagh sipendi "scenario" ka iz. Yuko ndani ya baibui.. Ushungi juu. A bit short. Basi bana Na ile kitu ilikua express. Nilikua najaribu kuukwepa msambwanda wako ila ndo vile tena wewe ulikua unauleta. Damn u was even going down Mara up. We Dada wewe ! .wat was u thinking? Yu know I cud feel ur softness, .
Uzuri nilikua namsikiza j.cole
#love yours. .
Jifunze kimombo vizuri au uandike kiswahili, was u ndo nini? Tumbaf
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom