We Dada jirani yangu umenikera sana

We Dada jirani yangu umenikera sana

mbwa kichaa

Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
89
Reaction score
16
Salaam kwa wana JF

Kichwa cha habari kimeelewaka. Kuna mdada jirani yangu mimi na yeye tunaheshimiana sana jana kanikuta girrafe hotel na mdogo wangu wa kike nilimtoa out.

Akaanza kunitambulisha kwa ndugu za pamoja na wazazi wako kuwa mimi ni mchumba wako na tuna mipango ya harusi. Kwani ulikuwa na maana gani. Na mama yako kuanza kunitukana matusi. Kuwa nakuharibia maisha yako sijawahi na sina nia ya kuwa na wewe kwenye mahusiano yoyote na wewe.

Na iweje utangaze nia kwa chama changu wakati we sio mwanachama. Na sasa nakuambia una msemo unasena " mapenzi hayana komando" mi mwenzako nimeshakuwa rambo. #kenge wewe..

Najua utasoma maana ili ndio jukwaa lako.
 
Kama wewe Ulimgalalagaza na kumpa ahadi ya Kuoa Kwa nini Utoke ni Kitu Nyingine. Hii Kitu ilimuuma mdada wa Watu. Hacha Tabia yako ya Kutangaza nia Kila Unayepiga mzigo Vinginevyo Itaendelea Kukugharimu kama hivyo.
 
DJ Kobo, kimbiza kimbiza!

100.5 Times FM, habari yao!
 
Aisee.....!! Ndio hangover za sabasaba hizi??
 
so you are not man enough to tell her face to face??!!!!

Face to face naweza kumwambia ila nikikuona hatazidi kuniaribia siku yangu... Maana nikiokosa kwa makofi basi risasi nitampiga nayo... Naogopa jera
 
Ndo hivo unitue, janaume gani kila siku huna helaaa!!!, ndo mana nkakataa kuolewa na wewe, we Ni zigo Tu.....
 
Upate dawa ya kuzuia kichaa cha mbwa. Utapata akili ya kufikiri na kuandika kinachoeleweka.
 
Back
Top Bottom