We baba wewe

Hawa ndio huwa wanachota medal zote olympic,
Sisi maansalizi wiki mbili kibaha, wenzetu wanawekeza miaka.
 
Wetu sisi huwa tunawabeba mgongoni na wengeni tuna washika mikono na kuwatembeza mabara barani toka asubuhi hadi jioni ya kiza na hasa kitumbini kwa wahindi kuwomba sadaka za kila ijumaa ni aibu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…