Hapo wapo sahihi. Wanajaribu kuepuka kutumia neno idara ya mahakama ili mahakama ibaki kuwa ni mhimili wa dola unaojitegemea na sio kwamba ipo chini ya mhimili mwingine. Kiingereza chake ni judiciary of tanzania