Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,666
- 107,106
Nadhani comment zangu zilikuwa ni kusaidia kujenga zaidi wazo kuliko ulivyodhani...BabaTina unamjadili mtu katumia lugha usiyoitaka na kweli huijui. Ni Kiingereza. Kiinglish ni lugha gani?
Nyie ndio ****** mliokimbia umande. Tuachieni sisi.
Hujakatazwa. Anzisha na wewe utangaze chako, tuone kama na wewe hutaonekana kwamba unajifunza.