Usikariri mambo"emotions" ni mambo ya mila,desturi, malezi na mapokeo.Haihusiani na jinsia.Samahani. Wewe ni mwanamume au mwanamuke? Kama mwanamume,tafadhalihusiwe "too emotional" kwa mambo kama hayo. Yaani mpaka unashindwa kuingia JF wiki nzima? Hiyo siyo asili ya mwanamume.
Kama ni mwanamuke,that's nature at its best.
Mi nipo tu... Likes hazitoki hivi hivi siku hizi. Lizzy hajakwambia? Siku hizi natoa like moja kwa mbili ninazo pokea... 🙂Nani anataka amfuate babu Seya Lupango? God Forbid....
BTW ulipotelea wapi siku mbili tatu hizi? ODM alimisi wewe na LIKES zako ile mbaya
Hehehe kukwazwa kama kichwa kigumu kama changu sio rahisi. Ila sipendi wale wanaoinekana wapole wapole wakishambuliwa hovyo tena bila sababu ya msingi.Sikuwahi kuwaza eti ntawezwa kukwazwa kwa maneno kwenye skriin yanayotoka kwa mtu NISIYEMJUA na nisiyetegemea kumjua....Yaani jitu limtukane Asprin? Unatukana kidonge, si utakuwa kichaa tu?..... Hebu ita hao watu waliokujaribu, pamoja na baba zao na babu zao uwaambie wanifanye watakalo...manina zao!
Nshakugongea mbili, nategemea utanigongea kwenye hii posti.Mi nipo tu... Likes hazitoki hivi hivi siku hizi. Lizzy hajakwambia? Siku hizi natoa like moja kwa mbili ninazo pokea... 🙂
In green, will do!Nshakugongea mbili, nategemea utanigongea kwenye hii posti.
Siku nyingine ukisepa tuagane hata kule mtaa wa pili bana. Kumkosa rafiki bila taarifa inauma sana bana.... Mfano hapa kichwa chaniuma sijamwona shem wangu tangu asubuhi. Nakumbuka nlishamkatazaga kwenda gesti asubuhi, ndo anatuletea mabalaa ya mafuriko.
BRB........ out for a short and quick laugh LOL. Nikirudi nikute umenitafsiria hii makitu hapa chini.....In green, will do!
Nimekugongea like, but jiheshim please, just take it silently hata mimi nisijue.
Swaiba shwariii!we post achana huko bwana.by the way kuna watu wanalazimisha attention.sijui huwa inawadd nini ? Mi huwa sijali mimi humu mtu mmoja tu ndo namchukia wengine wooote kwangu ni peace& love kwa saaaana
It is french for "every moment you live is a gift, that is why it is called the present"BRB........ out for a short and quick laugh LOL. Nikirudi nikute umenitafsiria hii makitu hapa chini.....
Chaque instant qui passe est un cadeau, c'est pourquoi il s'appelle "le present"
Oh Thanks! Sasa waweza enenda kwa amani, kwa kuwa dhambi zako zote zimefutwa... Ukimwona ADI mwambie nammisi sana eti...:A S embarassed:It is french for "every moment you live is a gift, that is why it is called the present"
Ni one of the sentences that characterize me most, naitumia sana. Hapa JF nilikua nayo in english, then nikaona niweke tu in french. It sounds better to me.
Usikariri mambo"emotions" ni mambo ya mila,desturi, malezi na mapokeo.Haihusiani na jinsia.
acha tu ndugu yangu nailazimisha furaha tu basi mbwai mbwaiwewe mtoto mama anaendeleaje? Maana na hii migomo ya madaktari ukiwa na mgonjwa ni wazimu mtupu!!
hawakwaziki na vituko na mamelo ya hapa JF.
unashangaa nini sasa? si unataka kuhakikisha? :lol: