Nimekisoma Lizzy kisa cha Natasha nakuishia kushangaa hii mitandao itatupeleka wapi. Watu wazima kama mimi huwa tunajua kudili na hisia zetu, lakini huwezi kujua nyuma hizi avatar ni mtu wa aina gani.Kigarama nilikua naifikiria hii ishu mapema kweli kwasababu nilishaona kipindi kile cha msiba Regia. . .
Ila hii ya YM kwakweli imezidi. Kuna wengine hata kama sio hapa hua wanasababisha wenzao wanapoteza kabisa kujiamini, na wale wadogo wadogo wanafikia hata kujiua.
Suicide teen Natasha MacBryde was bullied online even after her death | Metro.co.uk
wewe mtoto mama anaendeleaje? Maana na hii migomo ya madaktari ukiwa na mgonjwa ni wazimu mtupu!!Mimi nipo kimpango wangu
sina time na mtu
Nimekisoma Lizzy kisa cha Natasha nakuishia kushangaa hii mitandao itatupeleka wapi. Watu wazima kama mimi huwa tunajua kudili na hisia zetu, lakini huwezi kujua nyuma hizi avatar ni mtu wa aina gani.
Mwingine anaanzisha mada ili ajifunze kutoka kwa wengine lakini mwisho wa siku anaishia kugeuzwa kituko. Natasha binti mdogo kabisa alikuwa, lakini alisongwa songwa hadi akajiu. "unajifanya wewe ni bomba na wanaume wote wanakuzimikia..." haya ni maneno ya watu dhaifu.
Mzee mmoja alinifunza kwamba watu dhaifu ni pamoja na Hittler kwani wanatumia sana mabavu kuwasilisha ujumbe wao kwa sababu hawajiamini!
Pole sana....lakini wewe umeyataka mwenyewe! kwanini uuze sura yako hku mtandaoni? Ulikuwa una nia gani kufanya hivyo?Yaani wamenishambulia hadi nimekosa raha! Hii dunia tabu tupu
Hahaha. . . wangekuona mbona wangenuna bila sababu!!Pole sana....lakini wewe umeyataka mwenyewe! kwanini uuze sura yako hku mtandaoni? Ulikuwa una nia gani kufanya hivyo?
Mimi nimeshawazoea kushambulia Avatar yangu...but i wish wangeniona live!!!
Pole bana. . . .
Unafanya kupotezea tu maana mpaka hapo umejua wao sio bora kuliko wewe.
Yaani wamenishambulia hadi nimekosa raha! Hii dunia tabu tupu
Uzoefu unanionesha kwamba kama unajiamini hutapoteza muda wako kuponda ama kukejeli watu wengine, halikadhalika kama unajiamini hutapoteza muda wako kufikiria critics za watu dhidi yako.. Use that confidence in you guys, and live your life. Coz life goes on anyway!
we acha tu Lizzy!!!Hahaha. . . wangekuona mbona wangenuna bila sababu!!
haya mambo ya avatar haya? Acha tu lizzy? Watu hawalali eti?we smiley unajiamini ila kuna wengine hawawezi vumilia kwa muda mrefu. Watajikaza na kuvumilia ila eventually wanajikuta wameanza kukosa raha maishani.