RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,759
- 107,938
Bukta ilikuwa brand ya nguo za michezo kama Nike au Adidas. Zamani kaptura nyingi za michezo zilikuwa brand hio hadi kupelekea kaptura zote za michezo kuitwa bukta.Ngalikihinja bukta ilikuwa nn mkuu??