Wanafikiria hivi ' Hawa Watanzania ni wati wa jabu Badala ya kuweka juhudi yao ndogo walionayo katika uzalishaji na kuboresha uchumi wao na ustawi wa jamii wanakalia kuandika vitu kama hivi ambavyo vinawachukulia 90% ya wakati wao. Maana baada ya kuandika upuuzi huu watakaa kujadili na kuurefusha upuuzi '