Wazungu walivyokuja mitaa ya kwetu

Sasa hawa wazungu wanataka nini hadi mashambani au wanataku kulima nini nisaidieni juu ya hili
 
from my documents
Lecturer unaniona hapo mbele. Hawa hawasemi kitu bana kwangu na zaidi wakirudi kwao lazima wapate kadigrii kao maana matirio nimewapa za kutosha. Kwa pembeni hapo utaona Ass. Lecturer karibu na huyo dada aliyevaa t shirt yenye R. Jamaa mkali huyu cku hizi!
 
mimi nilitumia nafsi hii adimu kushika bega la mzungu, tena wa kike.:A S crown-1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…