Wazungu walivyokuja mitaa ya kwetu

Kuna tofauti kubwa kati ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea..hata katika uvaaji wa kawaida..
 
Huyo jamaa wa mbele ndio kiboko kabisa, kaona kushika kiuno haitoshi akaona anyanyue na guu kabisa ! hahahaa!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea..hata katika uvaaji wa kawaida..

Hao wazungu wangekutana na mitoto ya mafisadi wenyewe wangeonekana wametoka kwenye nchi ambayo haijaendelea.
 
Huyo mzungu kama sikose ni Jane Goodall aliyekuwa anafanya utafiti wa sokwe kule kigoma, hifadhi ya gombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…