Wazungu wakikusifia wananufaika nawe

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,527
865
1.mtu mwerevu akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukalikubali hali ya kuwa anajua unajua ni la kipumbavu ANAKUDHARAU--J K NYERERE

tumepita miaka kumi ya maumivu, hivi kama baadhi ya wafanya biashara walikuwa hawalipi kodi , na bidhaa madukani bei juu , mzigo woote tulibebeshwa walalahoi

sijawahi kuona bei ya mafuta ikishuka na kudumu kwa kipindi kirefu kama ilivyo sasa hii inaonyesha nchi ilivyokuwa imenunuliwa
sasa nimebaini kwanini wazungu walikuwa wakimtunuku vyeo mbalimbali mzee wa msoga kwani maumivu ya wananchi kwao hayakuwa kitu.ni sawa vile walivyondondosha mabomu Iraq kwa kisingizio cha silaha za maangamizi ili mradi yao yaende sawa.
 
Vipi wachina wakikuambia uchanguzi Zenj ulikuwa poa....refer quote yako ya JKN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom