Jana nilitembelea website ya Haven of peace academy ipo Mbezi beach, dar ilikuwa inaomba donations watoto wapate scholarships ila inaelekea huko USA wanaiongelea kama ni msaada kwa watoto wa tz wakati ni msaada kwa wenye mamillioni kulipia watoto.
Mie sielewi kwa nini wanaruhusiwa kuja kujitajirisha hapa Tanzania
School fees yaanzia dola $5000 kila level inapanda hadi over $7000
Hizi pesa wanafanyia nini je zinasaidia shule za masikini?
Kama ni wa kanisa huko usa kwa nini waje hapa ku charge pesa nyingi au ku target wenye nazo na kutosaidia wanaohitaji misaada?
Kwnye necta shule haimo je haifanyi mitihani ya wote?[/QUOTE]
Mkuu,
kwa vile umeandika "inaelekea" hakuna uhakika wa tuhuma hii
Umejuaje ni msaada kwa wenye mamilioni? Inaawezekana wenye mamilioni wanalipa na wanaosaidiwa ni wasio na mamilion.
Kwani kuna sheria inayowalazimisha kusaidia shule maskini?
Zipo shule nyingine zinafundisha mitaala tofauti na ya Tanzania na hawafanyi mitihani ya NECTA. Sio wa kwanza hawa.
Wanaowapeleka watoto wao huko na kulipa mapesa yote hayo wana sababu zao na wanao uhuru kamili wa kufanya hivyo. Na kwa wenye shule, iwapo wanapata faida kubwa - well wako kwenye biashara.